- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Naijeria: Ken Saro-Wiwa Akumbukwa

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Naijeria, Haki za Binadamu, Mazingira

Chidi Opara anamkumbuka Ken Saro-Wiwa [1], Mwandishi wa Kinaijeria, mwanaharakati wa mazingira na haki za walio wachache ambaye aliuwawa na watawala wa kijeshi wa Naijeria tarehe 10 Novemba, 1995.