- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Malawi: Rais Ataka Nguvu Zaidi

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Malawi, Sheria, Siasa

Rais wa Malawi ataka nguvu zaidi! [1]: “rais wa Malawi Bingu wa Mutharika, ambaye chama chake kina wabunge wengi katika bunge, anataka kunonesha nguvu zake kabla hajatoka kwenye ulingo wa siasa mwaka 2014.”