- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Kenya: Mwai Kibaki na Odinga Budi Washirikiane na ICC

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Kenya, Sheria, Utawala, Vita na Migogoro

Ubia wa Kuleta Mabadiliko umetoa tamko [1] linalowataka mwai kibaki na raila odinga kushirikiana na mahakama ya kimataifa ya Jinai na kuhakikisha muswada wa Tume Maalum unapitishwa nchini kenya na kurasimishwa kama sheria ndani ya wiki mbili.