- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Karibea: Tuzo za Fasihi ya Kifaransa

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Marekani ya Kaskazini, Nchi za Caribiani, Ulaya Magharibi, Guadeloupe, Haiti, Kanada, Martiniki, Senegali, Ufaransa, Fasihi, Lugha, Sanaa na Utamaduni, Uhamiaji na Uhamaji

Wiki hii, waandishi wawili wenye asili ya Kiafrika wanaoandika kwa Kifaransa walipewa tuzo mbili zenye kuheshimika sana katika fasihi ya Kifaransa: Ulimwengu wa blogu za wanaozungumza Kifaransa katika Karibea umekuwa ukinguruma juu ya kutosheka kwao mara mbili kwa mpigo, katika makala hii kutoka Haiti [1], na hii kutoka Guadeloupe [2] na hii kutoka Martinique [3] [Fr].