- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Jordan: Barua kwa MBC

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Jordan, Vyombo na Uandishi wa Habari

M-jordan Ola Eliwat, kutoka Cinnamon Zone [1], anaandika barua ya wazi kwa makapuni ya televisheni ya MBC. Katika barua hiyo anaandika: “Na tafadhali fikirieni kufunga 90% ya idhaa zenu, nadhani itakuwa hisani KUBWA kwa taifa la Kiarabu!”