- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Iran: Majeshi Ya Usalama Yawashambulia Waandamanaji

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Iran, Maandamano, Siasa, Utawala

Kwa mujibu wa [1] Kian majeshi ya usalama yaliwashambulia waandamanaji katika viwanja vya hafteh tir mjini Teheran na kuwajeruhi watu kadhaa.