- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

India: Usawa

Mada za Habari: Asia ya Kusini, India, Uchumi na Biashara, Utawala

“Takriban asilimia 15 ya watu ambao ni viongozi wa siasa na watumishi wa serikali, kwa kupitia vitendo vya kifisadi, wamejilimbikizia asilimia 85 ya utajiri wote wa India, na kuwaachia asilimia 15 tu ya utajiri huo asilimia 85 ya wananchi,” anasema [1] Ram Bansal katika blogu ya India in Peril.