- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

China: Obama ni Mshabiki Mkubwa wa Kutokuchuja Habari

Mada za Habari: Asia Mashariki, Marekani ya Kaskazini, China, Marekani, Mahusiano ya Kimataifa, Siasa, Uhuru wa Kujieleza

Adam Minter amesikitishwa na maoni ya Obama kwenye Mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jiji la Shanghai, hasa, maelezo yake kuwa “Mimi ni muunga mkono mkubwa wa kutokuchuja habari [1]“.