- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Azerbaijan: Bikra

Mada za Habari: Asia ya Kati, Azerbaijan, Mawazo, Wanawake na Jinsia

Mwanablogu wa Emotions on Air, Mind Mute anatafakari marajio ya jamii kwamba wanawake watabakia mabikira mpaka watakapofunga ndoa. Japokuwa ipo nchini Azerbaijan, blogu hiyo inabaini mfumo unaofanana wa maadili katika eneo lote la Caucasus na inaongelea kuhusu dhana na taratibu za namna hiyo za mfumo dume [1].