- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Afrika: Haki za Wanawake

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Naijeria, Wanawake na Jinsia

Sokari anaandika kuhusu Toleo Maalum la Masuala ya Wanawake la Pambazuka [1] linaloangalia miaka 15 iliyopita tangu mkutano au Jukwaa la Vitendo mjini Beijing pamoja na mustakabali wa haki za wanawake barani.