- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Palestina: IDF Yachoma Moto Magari Ya Wapalestina

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Israel, Palestina, Haki za Binadamu, Safari, Vita na Migogoro

Kwenye Do Unto Others, Samuel Nichols anaandika kuwa doria ya jeshi la Israel imeanza kuchoma moto [1] magari ambayo yanakamatwa yakijaribu kuvuka mpaka kutoka Ukanda wa Magharibikuingia Israel. Ametundika video hapa [2].