- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Namibia: Kampeni ya Kukomesha Chanjo za Lazima

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Namibia, Afya, Haki za Binadamu, Sheria, Utawala

Kampeni ya kukomesha Chanjo kwa kulazimishwa nchini Namibia imezinduliwa [1]: “ umoja wa Asasi za kijamii umetoa wito kwa Wanamibia wote kujiunga na kampeni ya kulaani chanjo kwa wanawake waishio na VVU bila ya ridhaa yao.