- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Misri: Watawala Wa Kiimla na Wake Zao

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Kameruni, Misri, Vichekesho

Baada ya kuziangalia picha za mke wa Rais wa Cameroon, Mmisri Zeinobia [1] anasema: “Sijui ni ni kiasi gani cha pesa alichotumia kwa ajili ya nywele zake na muonekano wake lakini ninafahamu kuwa watu wa Camerron wanazihitaji zaidi hizo pesa.”