- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Haiti, Jamhuri ya Dominica: Hali Mbaya Yaongezeka

Mada za Habari: Amerika Kusini, Nchi za Caribiani, Haiti, Jamhuri ya Dominika, Mahusiano ya Kimataifa, Mazingira, Sheria, Ubaguzi wa Rangi

Repeating Islands [1] anaripoti kuhusu mauaji ya Wahaiti wanne katika Jamhuri ya Dominica