- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Bhutan: Mpito Usio na Mikwaruzo Kuelekea Demokrasi

Mada za Habari: Asia ya Kusini, Bhutan, Siasa, Utawala

Tshering Tobgay, kiongozi wa chama cha upinzani katika Bunge la Taifa la Bhutan, anatoa maoni kuw [1]a: “mpito wetu kuelekea demokrasi, kwa hakika, umetukia bila mikwaruzo. Umetukia bila mikwaruzo kiasi kwamba wengi wetu walikuwa hata hawaufuatilii.”