- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Botswana, Siasa, Teknolojia, Uchaguzi, Vyombo na Uandishi wa Habari

Mradi Wa Uchaguzi Afrika (AEP) www.africanelections.org utakuwa unafuatilia uchaguzi mkuu wa wa 10 wa Botswana [1], unaofanyika Oktoba 16, 2009.