- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Guinea, Habari za Hivi Punde, Maandamano

Ripoti ya MISNA (Shirika La Kimataifa la Habari La Wamisionari) [1] iliyochapishwa tarehe 25 Septemba inaeleza kuwa maandamano makubwa ya upinzani yalifanyika mjini Labe, jiji la pili kwa ukubwa nchini Guinea, dhidi ya Mkuu wa Nchi Mwanajeshi, Kapteni Moussa Dadis Camara.