Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

11 Oktoba 2009

Habari kutoka 11 Oktoba 2009

Ukraine: Babi Yar

Australia: Wanawake wa Kenya wakataliwa haki ya ukimbizi

Wanawake wawili wanakabiliwa na uwezekano wa kutimuliwa kutoka Australia baada ya maombi yao ya kuomba hifadhi kukataliwa, pamoja na hatari wanayoweza kuipata ya kulazimishwa tohara...