Habari kutoka 29 Julai 2009
Kenya: Ukame Uliokithiri Wachochea Mgogoro kati ya Binadamu na Wanyama Pori
Kenya inakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika kipindi cha zaidi ya muongo mmoja kwa mujibu wa Idara ya Hali ya Hewa. Ukame huu umeathiri nchi nzima, lakini athari zake zimeonekana...