- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Mada za Habari: Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, Iran

Kwa mujibu wa [1] gazeti la Guardian, Jeshi Maalum la mapinduzi la Iran limesema kwa kupitia chombo cha habari cha taifa kwamba tovuti na wanablogu wote ni lazima waondoe makala zote zinazoweza ‘kusababisha hali mbaya’, la sivyo watachukuliwa hatua za kisheria.