Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

21 Julai 2009

Habari kutoka 21 Julai 2009

Kongo Brazzaville: Uchaguzi wa Rais Wakatisha Tamaa

Siku ya Jumapili, Julai 12, watu wa Jamhuri ya Kongo walipiga kura katika uchaguzi ambao ulisusiwa na viongozi wa Upinzani kwa madai kwamba usingekuwa huru...