Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

4 Novemba 2008

Habari kutoka 4 Novemba 2008

Afrika ya Kusini: Matumizi ya Simu za Viganjani Kupambana na UKIMWI

Afrika ya Kusini imegundua silaha mpya katika vita dhidi ya VVU/UKIMWI – simu za viganjani. Kwenye mchakato mpya, jumbe za maandishi zitakuwa zikitumwa kila siku...