Habari kutoka 31 Agosti 2008
Waziri matatani kwa cheti ‘feki’
Ali Kordan,Waziri wa Mambo ya Ndani wa Irani, Katika siku za hivi karibuni, ameshutumiwa vikali kwa kuonyesha Shahada ‘feki’ ya Udaktari (PhD) aliyodai kupata kutoka katika chuo kikuu chenye sifa...
Angola, Brazil: Mshituko na Utengano wa Kitamaduni
Mahusiano maalum kati ya Angola na Brazili yanamaanisha kwamba biashara kati ya makoloni haya mawili ya zamani ya Ureno inashamiri - kadhalika uhamiaji kutoka pande zote za Atlantiki. Lakini, ni vipi hawa watoto wawili wanavyoishi? Ujumbe huu unatoa mitazamo ya wote, kutoka kwa bloga wa Kiangola na wa Kibrazili waishio Luanda.